Yaaani yanga wasipomsajili neymar basi tena
kuna mchawi alikatiza humu akaropoka tatu moja hivi bado yupo au kalala
Yani mwanangu angepatikana mtu mmoja tu wakumsaidia Modric, hawa wabangu bangu wengeimba achimenengule.Hakika mkuu, hata croatia wanatengeneza sna nafasi.
Oscarrr
Ndo man of the match
3-1