Messi kajikomboa maana angeaibika kama angetoka patupu
Messi 1-0, Rooney
Yaani Agentina mfungaji ni Messi tuu!!
Kwa kweli kwa kiwango hiko wasitarajia kuwa mabingwa wa hili kombe.
bado haujaisha
Mkuu, mbona hii ndo mechi ya kwanza kwao!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu, mbona hii ndo mechi ya kwanza kwao!!!!!!!!!!!!!!
Ma star hawa World Cup Messi 2 Christiano Ronaldo 2 Wayne Rooney 0 Papa boupa Diop 3 nimekuvulia Kofia Papa Boupa Diop kwa Leo ni kalale Asubuhi Iran anampigia Nigeria.Messi 1-0, Rooney
Messi kajikomboa maana angeaibika kama angetoka patupu