World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu mtoto balaa aiseeeeee, Khaaaaaaaaaa!!!!! thank u Messi
 
Yaani Agentina mfungaji ni Messi tuu!!
Kwa kweli kwa kiwango hiko wasitarajia kuwa mabingwa wa hili kombe.
 
Mkuu, mbona hii ndo mechi ya kwanza kwao!!!!!!!!!!!!!!

Argentina ni timu kubwa yenye wachezaji wenye majina ktk soka duniani lkn hapa kwa uchezaji huu tena na Bosnia !! Baado sana.
Nawapa point Bosnia wako kitimu zaidi na wanaonana vizuri.
Argentina ni Messi apate Moira akimbie mwenyewe akafunge
 
Messi 1-0, Rooney
Ma star hawa World Cup Messi 2 Christiano Ronaldo 2 Wayne Rooney 0 Papa boupa Diop 3 nimekuvulia Kofia Papa Boupa Diop kwa Leo ni kalale Asubuhi Iran anampigia Nigeria.
 
Back
Top Bottom