andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,021
It does not matter the final scoreline!Hawa wawili ndiyo watapita kundi hili,Iran na Nigeria hamna kitu
So far sijawahi kuona forward ng'ombe kama za Bosnia, leo argentina ameshinda kutokana na u-ng'ombe wa bosnia strikers. Argentina hajacheza mpira mzuri kabisa. Kama huu ndio mpira wao watapita kwenye mechi za makundi kwa sababu kundi lao lina vibonde watupu, mwisho wao ni round of 16 (2nd round).