World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Drogba jana kafunga goli nimefurahi sana..... anacheza lini tena mnaojua naomba mnisaidie...... makelele anacheza nchi gani? na kaka naye anachezea nchi gani naomba na ratiba zao......

Kaka anachezea brazil lakini hajaitwa kwenye kikosi ,check ratiba page ya kwanza.
 
Mshauri awe na moyo wa upendo bhana,mbona mabuluda tulivumilia timu yetu siku ile tulivyonyanyaswa na hawa wakatalunya goli 4 fainali ya ulaya?tena kama sikosei huyu ALEYN alitunyanyasa sana,alitufuata hadi chumbani kule juve and milan threads,labda niwe nimechanganya Ids.

Kama yeye kumbukumbu zake fupi, sisi hatujasahau kejeli zake na nduguye gutierez.

Hivi nikuulize ALEYN ikitokea na Argentina kashushiwa kipigo cha mbwa mwizi kama kile cha Spain utahamia wapi?
 
Last edited by a moderator:
So far sijawahi kuona forward ng'ombe kama za Bosnia, leo argentina ameshinda kutokana na u-ng'ombe wa bosnia strikers. Argentina hajacheza mpira mzuri kabisa. Kama huu ndio mpira wao watapita kwenye mechi za makundi kwa sababu kundi lao lina vibonde watupu, mwisho wao ni round of 16 (2nd round).

nilisema juzi hapa kuwa mnaweza mkaona msichotarajia kutioka kwa bosnia. Argentina wanapaishwa na vyombo vya habari tu hawana kitu.
 
Italy goalkeeper Gianluigi Buffon is doubtful to face Costa Rica after missing his side's #WorldCup opener against England with ankle injury
 
Italy are waiting to discover if Gianluigi Buffon and Mattia De Sciglio will return from injury against Costa Rica
 
BqP-vCrCYAAcgOp.png
 
Back
Top Bottom