World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

It does not matter the final scoreline!Hawa wawili ndiyo watapita kundi hili,Iran na Nigeria hamna kitu

So far sijawahi kuona forward ng'ombe kama za Bosnia, leo argentina ameshinda kutokana na u-ng'ombe wa bosnia strikers. Argentina hajacheza mpira mzuri kabisa. Kama huu ndio mpira wao watapita kwenye mechi za makundi kwa sababu kundi lao lina vibonde watupu, mwisho wao ni round of 16 (2nd round).
 
Wamecheza mpira wa hovyo sana mkuu.
 
Argentina kila mtu anajichezea anavyo fundishwa kwenye club yake!Miujiza tu mwenye mpira wake duniani Messi ndiyo imewaokoa!Huwezi cheza na Holland hivi then R R wakuache
 
breaking news! England inachunguzwa kwa rushwa ya kuwapa Carribien £35000 ku vote wa host WorldCup 2018 sasa wamepiga Kelele Qatar inakuja na kwao Sema Sepp Blatter naye anafanya hivi sababu anataka kushinda kura World Cup zote rushwa japo wanazidiana ni mafia kila mtu na huko FIFA kila mtu Anaadui yake a najaribu kumzima walete viongozi wamaana Africa imenyimwa WorldCup nyingi kwa rushwa ila South Africa imepewa baada kuona pia Sepp Blatter time ile anashindana nafasi na Yule Mwafrica kuja kipindi na Bin Hamman akamuweza kufungua Zambi zake Leo anamlia. Platini na England inaonyesha FIFA wanajuwa wala rushwa wanawataja muda ambao wakisemwa au kutaka kura.
 
Pazi Qatar atanyang'anywa uandaaji kombe la dunia 2022 na kura za kuwaondoa zitatosha kwenye mkutano wa November hii hata Blatter na timu yao anajua hivyo

Blatter kupoteza uungwaji mkono na UEFA wachangiaji wakuu wa FIFA lazima aweweseke na kama Platin atagombea basi Blatter will be out
 
Last edited by a moderator:
Amezoea kucheza pale Barca TU akipelekwa kwingine hawezi

WC 2006 alifunga goli moja tu.
WC 2010 hakufunga goli hata moja.

WC mwaka huu kapata hilo moja, ngoja tusubiri tuone ataendeleaje, labda atakuwa leading scorer wa argentina.
 
So far sijawahi kuona forward ng'ombe kama za Bosnia, leo argentina ameshinda kutokana na u-ng'ombe wa bosnia strikers. Argentina hajacheza mpira mzuri kabisa. Kama huu ndio mpira wao watapita kwenye mechi za makundi kwa sababu kundi lao lina vibonde watupu, mwisho wao ni round of 16 (2nd round).
mkuu nakubaliana na wewe. Argentina kapata vibonde kwenye kundi lake na ataishia quarter finals
 
WC 2006 alifunga goli moja tu.
WC 2010 hakufunga goli hata moja.

WC mwaka huu kapata hilo moja, ngoja tusubiri tuone ataendeleaje, labda atakuwa leading scorer wa argentina.

Duuu!!! Hii mbona hatari tena zaidi.
Kwahiyo huyu makeke yake ni pale Barca tu.
Hii kuwa leading scorer mbona ndiyo mbaya zaidi, yaani unataka kusema tamati ndiyo imefika??
 
Hio Iran watambue vizuri...waliwahi kutoa mtu anaitwa "desert PELE" sayyid Al-howairan....si wa kudharau hata kidogo

Mkuu umechanganya madawa said al owairan alikua striker wa saudi arabia na alifunga goli moja matata sana kwenye world cup ya either 98 au 94
 
breaking news! England inachunguzwa kwa rushwa ya kuwapa Carribien £35000 ku vote wa host WorldCup 2018 sasa wamepiga Kelele Qatar inakuja na kwao Sema Sepp Blatter naye anafanya hivi sababu anataka kushinda kura World Cup zote rushwa japo wanazidiana ni mafia kila mtu na huko FIFA kila mtu Anaadui yake a najaribu kumzima walete viongozi wamaana Africa imenyimwa WorldCup nyingi kwa rushwa ila South Africa imepewa baada kuona pia Sepp Blatter time ile anashindana nafasi na Yule Mwafrica kuja kipindi na Bin Hamman akamuweza kufungua Zambi zake Leo anamlia. Platini na England inaonyesha FIFA wanajuwa wala rushwa wanawataja muda ambao wakisemwa au kutaka kura.

Tulia mkuu hueleweki
 
kuna watu mmeunga mabehewa km jana? hahahaha huu mwz km kuna wafanyakazi wa sekta binafsi watch out make mtakua mnasinzia ofisini.
 
Drogba jana kafunga goli nimefurahi sana..... anacheza lini tena mnaojua naomba mnisaidie...... makelele anacheza nchi gani? na kaka naye anachezea nchi gani naomba na ratiba zao......
 
Drogba hajafunga goli,makelele alikuwa anachezea France,alishastaafu siku hizi anasaidia kufundisha PSG,Kaka ni wa Brazil na yeye kastaafu timu ya taifa Ivory coast watacheza alhamisi saa moja jioni.Brazil itakuwa jumanne saa nne usiku
 
Drogba jana kafunga goli nimefurahi sana..... anacheza lini tena mnaojua naomba mnisaidie...... makelele anacheza nchi gani? na kaka naye anachezea nchi gani naomba na ratiba zao......

tv yako itakuwa ya chogo .
drogba alifunga bao lini?? game yote mwanzo mwisho nimeangalia sikuona drogba akifinga gori au ww umekremisha nywele??
 
Wenzetu wanabadili team kwa wakati sio ss "Kaseja" miaka 15 golini...hakuna wapya?

System yao ya kukuza na kulea vipaji ni tofauti na sisi.

Ndo mana wanauwezo wa kubadili kikosi kizima ndani ya miaka 2
 
Back
Top Bottom