Drogba alifunga goli?Drogba jana kafunga goli nimefurahi sana..... anacheza lini tena mnaojua naomba mnisaidie...... makelele anacheza nchi gani? na kaka naye anachezea nchi gani naomba na ratiba zao......
Drogba alifunga goli?
makelele alianzia simba sport akahamia azam akacheza france asaiv wajukuu zake ndo wanacheza,
hakuna kaka bila dada, kaka alikuwa Ruvu shooting, akacheza manyema fc hala akaenda brazil kuichezea timu ya taifa, kwa sasa brazil nafasi hazitoshi, amekosa nafasi ila si kwamba hawezi.....
tv yako itakuwa ya chogo .
drogba alifunga bao lini?? game yote mwanzo mwisho nimeangalia sikuona drogba akifinga gori au ww umekremisha nywele??
Drogba hajafunga goli,makelele alikuwa anachezea France,alishastaafu siku hizi anasaidia kufundisha PSG,Kaka ni wa Brazil na yeye kastaafu timu ya taifa Ivory coast watacheza alhamisi saa moja jioni.Brazil itakuwa jumanne saa nne usiku
loh! ntaipaka rangi mwaya,Una roho mbaya
loh! ntaipaka rangi mwaya,
nilikuwa najibu tu kwa vionjo ila nipo sahihi kabisa.
juzi alifunga lakini lilipita pembeni ya goal, so halikuhesabika kwa viwango vya FIFA coz lilipaswa lipite kwenye ile milingoti miwili,Mimi najua drigba akicheza lazima afunge
loh! ntaipaka rangi mwaya,
nilikuwa najibu tu kwa vionjo ila nipo sahihi kabisa.
System yao ya kukuza na kulea vipaji ni tofauti na sisi.
Ndo mana wanauwezo wa kubadili kikosi kizima ndani ya miaka 2
juzi alifunga lakini lilipita pembeni ya goal, so halikuhesabika kwa viwango vya FIFA coz lilipaswa lipite kwenye ile milingoti miwili,
Mkuu umehama Hispanola/Catalunya?
Africa goo
Mimi najua drigba akicheza lazima afunge
France jana wamechezewa lafu kweli ile mijamaa imeniboa kocha wao hafai na refa aliwaonea huruma ningekuwa uwanjani wote ningewapa kitu cha red
Mhhhh nikajua libolo match kumbe match ya France
mkuu Drigba anachezea Ivory coast na juzi ndo alifunga bao likakataliwa na FIFA coz lilipita nje ya goal, (according to miss chaga), teh teh tehMkuu,huyu "drigba" ni mchezaji wa timu gani?