The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Drogba jana kafunga goli nimefurahi sana..... anacheza lini tena mnaojua naomba mnisaidie...... makelele anacheza nchi gani? na kaka naye anachezea nchi gani naomba na ratiba zao......
Kaka anachezea brazil lakini hajaitwa kwenye kikosi ,check ratiba page ya kwanza.
mkuu Drigba anachezea Ivory coast na juzi ndo alifunga bao likakataliwa na FIFA coz lilipita nje ya goal, (according to miss chaga), teh teh teh
Mkuu,huyu "drigba" ni mchezaji wa timu gani?
mkuu Drigba anachezea Ivory coast na juzi ndo alifunga bao likakataliwa na FIFA coz lilipita nje ya goal, (according to miss chaga), teh teh teh
Drogba jana kafunga goli nimefurahi sana..... anacheza lini tena mnaojua naomba mnisaidie...... makelele anacheza nchi gani? na kaka naye anachezea nchi gani naomba na ratiba zao......
shabiki jina
ila nawapenda hao
Mshauri awe na moyo wa upendo bhana,mbona mabuluda tulivumilia timu yetu siku ile tulivyonyanyaswa na hawa wakatalunya goli 4 fainali ya ulaya?tena kama sikosei huyu ALEYN alitunyanyasa sana,alitufuata hadi chumbani kule juve and milan threads,labda niwe nimechanganya Ids.
So far sijawahi kuona forward ng'ombe kama za Bosnia, leo argentina ameshinda kutokana na u-ng'ombe wa bosnia strikers. Argentina hajacheza mpira mzuri kabisa. Kama huu ndio mpira wao watapita kwenye mechi za makundi kwa sababu kundi lao lina vibonde watupu, mwisho wao ni round of 16 (2nd round).
Mtanange ulikushinda nite...ukaondoka kimya kimya......sikuona stats tena...!Hulk an injury doubt for Brazil ahead of tomorrow's clash with Mexico:
Mtanange ulikushinda nite...ukaondoka kimya kimya......sikuona stats tena...!
Usingizi bro
Ukichangia juzi sikulala vizuri pia