World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

The England news conference will be broadcast LIVE on Sky Sport from 5pm today
 
Kwa nilivoangalia mchezo wa kwanza ivoy coast v/s japan hakika The elephant wameenda kushindana.ni timu inayojiamini kila mchezaji anauwezo kiujumla naiona nusu fainali kwa hawa jamaa.
 
bado mapema mkuu,pia ulifanikiwa kuangalia match ya nertherland na spain?
 
spain walianza vizuri ile gem maana walikosa goli zaidi ya tatu ndani ya 20min baadae walijiamini sana matokeo yake ndo ivo yalivokuwa utashangaa gem za pili mambo yatakuwa tofauti kabisa.ila kwa afrika tegemeo ni kwa tembo.MECHI YA GHANA LEO NDO ITAAMUA HATIMA YAKE.
 

aisee jana nilichemsha kwelikweli,jana nilivyoenda chachi nikakutana na maupako si mchezo,huwezi amini sikulala hata!! mchana nikapata simu mzaa chema anaumwa loh! nikawa sina ujanja ikabidi niende,home nimerudi saa 3 usiku niko hoi nilipofika nikaoga nakulala, leo tutakuwa wote hasa ile saa 4 na saa 7.
 
Last edited by a moderator:
Nipo Mourinho,kazi kwenu leo kwa wafa na tai shingoni watoto wa Hitler

Sijakusoma kitambo ndugu yangu, me nilishamtandika mpiga kelele muingereza hapo juzi, kazi kwenu wacatalunya, mnahitaji msasa wa maana kurudia makali yenu, ambayo nina mashaka kama tutayaona tena hivi karibuni
Nduguyo Gang Chomba bado anasherehekea ushindi na kipigo chenu, lol
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Gang Chomba kaporomoka kama chama lake AC Milan,safi mimi waingereza siwafagilii wanajifagilia sana soka sifuri
 
Nasikia bosnia walichemsha sana foward yao

Bosnia walijitahidi sana, kipindi cha kwanza golikipa wa Argentina ndio alikua bize, Miralem Pjanic alitawala sana eneo la kiungo na kuwazawadia baadhi ya mabeki wa Argentina kanzu maridadi kabisa.

Kipindi cha pili at least Argentina walichezacheza kidogo hasa baada ya goli la Messi, lakini kwa kiasi kikubwa bado hawana team inayocheza kwa uelewano mzuri
 
Ronaldo can decide a game with a single shot, warns Podolski
 
Teh Teh Gang Chomba kaporomoka kama chama lake AC Milan,safi mimi waingereza siwafagilii wanajifagilia sana soka sifuri

Atakupa mipango kabambe ya msimu ujao mpaka utakimbia mwenyewe.
Hawa waingereza inabidi waishie hatua ya makundi ili watupunguzie kelele, na sina uhakika kama watapita kwenye hilo kundi lao
 
hahaaaaaaa hawa watapigwa magoli kila siku maana muda mwingi wako kwenye kamera wanauza nyago

Waingereza wanajaribu kurudi kwenye game ila wanashindwa kwa kukosa natural talents
 
Waingereza wanajaribu kurudi kwenye game ila wanashindwa kwa kukosa natural talents

Talents me naona zipo kibao tu, Barkley, Chamberin, Rooney, Sterling nk ina hawana kocha wa kuwaunganisha hawa watu.
Halafu kama umemsima Jammie Redknapp leo, anasema England wajifunze kukaa/kuutunza mpira, wanacheza kwa kasi sana ila hawawezi kukaa na mpira na kwa mazingira ya joto la brazil watakua wanachemsha sana kila wakikutana na wataalamu wa kumiliki mpira kama walivyofanywa na Buluda juzi
 

England ni zaid ya kumiliki mpira, team nyingi zinazocheza WC zina natural talents, wengi wa waingereza wanafundishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…