Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Missed out...Arg/Bosnia was indeed "Clash of the Titians"!
Nasikia bosnia walichemsha sana foward yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Missed out...Arg/Bosnia was indeed "Clash of the Titians"!
everlenk wapi?
Nipo Mourinho,kazi kwenu leo kwa wafa na tai shingoni watoto wa Hitler
Teh Teh Gang Chomba kaporomoka kama chama lake AC Milan,safi mimi waingereza siwafagilii wanajifagilia sana soka sifuriSijakusoma kitambo ndugu yangu, me nilishamtandika mpiga kelele muingereza hapo juzi, kazi kwenu wacatalunya, mnahitaji msasa wa maana kurudia makali yenu, ambayo nina mashaka kama tutayaona tena hivi karibuni
Nduguyo Gang Chomba bado anasherehekea ushindi na kipigo chenu, lol
The England news conference will be broadcast LIVE on Sky Sport from 5pm today
Nasikia bosnia walichemsha sana foward yao
Teh Teh Gang Chomba kaporomoka kama chama lake AC Milan,safi mimi waingereza siwafagilii wanajifagilia sana soka sifuri
hahaaaaaaa hawa watapigwa magoli kila siku maana muda mwingi wako kwenye kamera wanauza nyago
Waingereza wanajaribu kurudi kwenye game ila wanashindwa kwa kukosa natural talents
Talents me naona zipo kibao tu, Barkley, Chamberin, Rooney, Sterling nk ina hawana kocha wa kuwaunganisha hawa watu.
Halafu kama umemsima Jammie Redknapp leo, anasema England wajifunze kukaa/kuutunza mpira, wanacheza kwa kasi sana ila hawawezi kukaa na mpira na kwa mazingira ya joto la brazil watakua wanachemsha sana kila wakikutana na wataalamu wa kumiliki mpira kama walivyofanywa na Buluda juzi