Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Hawa Wajerumani hawana utani,Muller ataondoka na mpira leo
Kuwa wachezaji wa Ulaya nao wankunywaga viroba kabla ya mechi
kumleta maximo mwenyewe akajiona ndio ametatua tatizo kumbe hamna lolote...
Hitlers watakutana na timu itawapiga nyingi sana, kwa staili yao ya kucheza wasiombe wakutane na timu kama Netherlands watapigwa week
Wa kumchukia ni Refa chief...Hakukuwa na sababu ya kumpa Red Pepe..Mitimu mingine bana ingejua tunaishabikia hata isingefanga maujinga kama haya, yanafungwa kirahisi sana
Bora hata taifa stars yetu.Pepe mjinga sana hajui watu wanawashabikia wao?
Cristiano hana msaada anaogopa kuumia wamtoe tu.
Yaani hii timu ya Ureno kama Taifa Queens
Kuwa wachezaji wa Ulaya nao wankunywaga viroba kabla ya mechi
Sasa hapa sijui katukana huyu pepe akili yake kiazi kweli.
Penalty nyepesi, red too easy aaarghhh refa gemu imemshinda
Penalty nyepesi, red too easy aaarghhh refa gemu imemshinda
Sio kuwa kaimudu? Red card ya kujitakia kabisa ile.Penalty nyepesi, red too easy aaarghhh refa gemu imemshinda