World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Half time. German wapo mbele kwa goli 3 kwa 0. Cristiano haonekani kabisa, nani ndio anaonekana kupambana zaidi.

Pepe katia mikosi timu yake, huyu jamaa atakuwa anavuta c bure, uwezi kuonyesha display ya kibange kama hivi. Naamini kipigo alichopata spain kitakuwa ni kidogo, hawa ureno lazima watalimwa 6.

Poleni =team ureno
 
Pepe mjinga sana hajui watu wanawashabikia wao?
Cristiano hana msaada anaogopa kuumia wamtoe tu.
Yaani hii timu ya Ureno kama Taifa Queens
 
Mitimu mingine bana ingejua tunaishabikia hata isingefanga maujinga kama haya, yanafungwa kirahisi sana
Wa kumchukia ni Refa chief...Hakukuwa na sababu ya kumpa Red Pepe..

Thomas Muller kaguswa kichwa tu kajiangusha na Refa anatoa straight Red card...Na hata Khedira naye kagusana kidogo tu na Coentrao anajinagusha na kulalamika juu...

Kutolewa kwa Pepe kumeidhoofisha Ureno Chief...Nimewachukia Germany ghafla kwa tabia za Muller na Khedira...

Ureno wamekuwa dhoof'l khali..
 
BqRCOufCUAEEDUp.jpg
 
Hawa kweli madikteta wanawaumiza Wareno wa watu bure, timu imejaa wazee sana
 
Cameroon+spain ni timu nyepesi michuano hii.
 
Back
Top Bottom