World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


team ureno wazuri ila hawatulii, wakikubali kucheza kwa nidhamu wataambulia japo magoli mawili
 

Kiukweli nimeumia sana, ila naamini hawa Wajerumani watakutana na mtu atawapiga vizuri tu, baada ya hii mechi watajisahau.
 


Meanwhile darasani, Kombe la dunia na book kwa pamoja.
 

Mkuu naomba kutofautiana, Pepe kaitafuta red card mwenyewe, ile ya kwanza ya Muller kujiangusha ni sawa kabisa, Muller angepewa kadi ya njano lakini kitendo cha pepe kumfuata Muller pale chini na kutaka kumpiga kichwa kinastahili kadi nyekundu X2, alikua na haja gani kufanya vile?
 
Bado ilikuwa game nzuri mpaka pale Pepe alipolamba red. Sasa inaweza kugeuka basket ball.
 
Shida ni mfumo mkuu, sio kocha

Mbona germany wana kocha wa kijerumani na wanashinda?

MFUMO NDO SHIDA

Uki waambia hilo swala hawataki kukubali km jk angekua na vision angejaribu kushinikiza kuundaa vijna wadogo kuunda kikosi cha timu ya taifa tangu 2005 mpaka leo nadhani tungekua na vijana waliolelewa kisoka na wangekua wakali sana,miaka 9 ni mingi sana kukuza wachezaji..
 
Kuna uwezekano kipindi cha pili yakawa haya usemayo.

Aisee Skype mzima lakini?bado kidogo tukutane dodoma kwenye BLK ngoja tumalize world cup mkuu
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na yote Ujerumani wanajipanga vizuri, mpaka wanafika golini. Wamejiimarisha sana sana nimewapenda bure.
 
Pepe bange kweli...

Hawa Ureno wanaweza kupigwa 5pain leo!

teh teh teh, yaani rraa rraa rraahaa tu raha tu ndani ya gemu hili sikai nasimama mwanzo kati na mwisho
 
Yaani mie naamini leo hawa watu watajuta hayo magoli maana Cristiano nae sidhani kama atacheza muda wote anaogopa sana kuumia huyu mtu
 
Sio kuwa kaimudu? Red card ya kujitakia kabisa ile.

Kweli ya kujitakia..kwani baada ya Muller kujiangusha, refa hata hakujali, na boli liliendelea kama kawa! Ila baada ya bange za Pepe, refa hata hakusita...kulaleki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…