Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Half time. German wapo mbele kwa goli 3 kwa 0. Cristiano haonekani kabisa, nani ndio anaonekana kupambana zaidi.
Pepe katia mikosi timu yake, huyu jamaa atakuwa anavuta c bure, uwezi kuonyesha display ya kibange kama hivi. Naamini kipigo alichopata spain kitakuwa ni kidogo, hawa ureno lazima watalimwa 6.
Poleni =team ureno
Wa kumchukia ni Refa chief...Hakukuwa na sababu ya kumpa Red Pepe..
Thomas Muller kaguswa kichwa tu kajiangusha na Refa anatoa straight Red card...Na hata Khedira naye kagusana kidogo tu na Coentrao anajinagusha na kulalamika juu...
Kutolewa kwa Pepe kumeidhoofisha Ureno Chief...Nimewachukia Germany ghafla kwa tabia za Muller na Khedira...
Ureno wamekuwa dhoof'l khali..
Uzembe wa wachezaji, sio refa kabisa

Wareno wameshavurugwa Pepe katolewa leo watatundikwa hata wiki moja,mvua sabaKuna uwezekano kipindi cha pili yakawa haya usemayo.
Shida ni mfumo mkuu, sio kocha
Mbona germany wana kocha wa kijerumani na wanashinda?
MFUMO NDO SHIDA
Ongeza na ureno hapo.Cameroon+spain ni timu nyepesi michuano hii.
Pepe bange kweli...
Hawa Ureno wanaweza kupigwa 5pain leo!
Ndio mkuu hasa pogba,ballote na pepe.. ni wanywaji wazuri wa viroba
Yaani Fifa sijui wanachaguaje marefaKaharibu utamu wa game kabisa ovyo sana.
Sio kuwa kaimudu? Red card ya kujitakia kabisa ile.
Ulikuwa unaogopa tu kuwapa karata yao.Pamoja na yote Ujerumani wanajipanga vizuri, mpaka wanafika golini. Wamejiimarisha sana sana nimewapenda bure.