Nilikuwa nasema,wabrazili wamefaidika kupeleka wachezaji ulaya mechi ya leo sikutegemea kuwaona wabrazili wakicheza mpira wa maguvu hivi na kuwadhibiti hawa wazungu wa ulaya.wamejikaza kweli leo,wangelegea tu,wangepigwa mechi hii.ile vita kwenye midfield pale inaonyesha brazil ni physical side as well.
uvivu huoWaturuhusu kuingia ofisini saa sita jamani.mwezi mmoja tuu!
Waturuhusu kuingia ofisini saa sita jamani.mwezi mmoja tuu!
uvivu huo
Kwi kwi kwii!pole!haya tema mate tuwachape pazi na rubaman!
. Hehehehe nimecheka sana ilivyokuwa moja moja nikasema 2-1 ikiwa Croatia nitajilaumu kwanini sijaenda Bookies alafu Williamhill walisema Brazil to win Even weka 20 pata 40 ningetowa uoga ningeenda na 1000 hehehehe dah nani Humu alisema 3-1 hongera zake Kama alisalimia watu wa Betting, Betting haziaminiki niliwacha zamani huchelewi Kuwa mgonjwa Rubaman yeye anakosea hehehe nenda sky play Super 6 free ukipata 6 sawa na magoli sawa na game moja upatie goli dk ya ngapi ukiwa wewe umewazidi wenzako wote umepatia 4 unapata £5000 ila ukipata 6 bila kukosea ni 250000 Kama mkiwa wawili wanagawanya ni bure kucheza wapo watu wanapata Mie game 6 na pata game mbili tu kuna siku nilipata mpaka dk ya kufunga mwanzo Super 6 Jeff sterling.
Mm nawaombea washinde kabisa hii mechi.
Na wao wameenda kuchukua kombe siyo kutalii
Cameroon anashinda!
Oscarrr
Ndo man of the match
3-1
. Hehehehe nimecheka sana ilivyokuwa moja moja nikasema 2-1 ikiwa Croatia nitajilaumu kwanini sijaenda Bookies alafu Williamhill walisema Brazil to win Even weka 20 pata 40 ningetowa uoga ningeenda na 1000 hehehehe dah nani Humu alisema 3-1 hongera zake Kama alisalimia watu wa Betting, Betting haziaminiki niliwacha zamani huchelewi Kuwa mgonjwa Rubaman yeye anakosea hehehe nenda sky play Super 6 free ukipata 6 sawa na magoli sawa na game moja upatie goli dk ya ngapi ukiwa wewe umewazidi wenzako wote umepatia 4 unapata £5000 ila ukipata 6 bila kukosea ni 250000 Kama mkiwa wawili wanagawanya ni bure kucheza wapo watu wanapata Mie game 6 na pata game mbili tu kuna siku nilipata mpaka dk ya kufunga mwanzo Super 6 Jeff sterling.
Kweli ila Ndio hivyo chama langu limeibuka kidedea na pt 3
Kwa uchezaji wa Brazil leo kama hawatabadilika basi kiama chao ni round of 16