bado wajerumani 3 wareno 0
Hivi Benzema jana alifunga mangapi?
First hat trick in international game for Muller
Hii ni hattrick ya pili tangu kumbe la dunia lianzishwe - fact
Mawili.Hivi Benzema jana alifunga mangapi?
Chancellor amefanyaje kwani? Kwani naye anacheza?Yaani washukuru uwepo wa Chancellor wao
Wana mtegemea sana.
Hukuona mechi ya Honduras na France mkuu
Uwiiìiiii mara hii 3 !!!? Asante sana
Alikuwepo South Africa 2010 kila mechi ya Ujerumani lakini walishika nafasi ya tatu,Uwepo wa Chancellor Markel unawasaidia sana German kubebwa
Wamebebwa nini? Thomas Muller kapiga kipa hajadaka, ni goli!!! Ulitaka refa atoe penalty kwa Ureno, bado ingekuwa ni 4-1! Ujinga wa Pepe umewagharimu, na by the way Ureno mpira wao hautishi labda game zijazo. Hata Ujeruman mpira wanaocheza nao siyo mkali kivileee
Okay...!Karim alifunga mawili, jingine lile lilikuwa OG ya kipa..