Chancellor amefanyaje kwani? Kwani naye anacheza?
Mechi inayofuata Line ups
Line up ya Nigeria to face Irani Enyeama (c), Ambrose, Oshaniwa, Oboabona, Omeruo, Mikel, Onazi, Azeez, Musa, Moses, Emenike.
Iran Team to Face Nigeria Haghighi, Heydari, Haji Safi, Hosseini, Sadeghi, Nekounam (c), Timotian, Montazeri, Ghoochannejad, Dejagah, Pooladi.
Leo sijaona mpira mkali.Nakuunga mkono mpira wanaocheza siyo Mkali
ila suala la kubebwa wamebebwa sana
Pole sana20000 yangu imesha ondka hivi hivi...... Kwa kufungwa wareno.