World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ImageUploadedByJamiiForums1402940987.570997.jpgDah!
 
ohhh mpira wa ujerumani hatuooni....?na magoli pia hamyaoni?
 
Mechi inayofuata Line ups

Line up ya Nigeria to face Iran
i Enyeama (c), Ambrose, Oshaniwa, Oboabona, Omeruo, Mikel, Onazi, Azeez, Musa, Moses, Emenike.

Iran Team to Face Nigeria Haghighi, Heydari, Haji Safi, Hosseini, Sadeghi, Nekounam (c), Timotian, Montazeri, Ghoochannejad, Dejagah, Pooladi.

#team nigeria...
 
Sijaona mpira nilio tegemea match mbaya mpira hausisimui kabisa.
 
2014 World Cup Top-Scorers:
1: Thomas Muller: 3
1: Own- Goals: 3
2: Robin van Persie: 2
Neymar: 2
Karim Benzema: 2
Arjen Robben: 2
 
Refa kaharibu mpira kiaina lakini ureno hawakuwa wazuri kama wajerumani, kipigo kilikuwa dhahiri tangu mwanzo
 
Bora walivyo maliza hawa mabeberu. Mechi yenyewe haikua na mishemishe wala nini.
 
Meireles,Pepe na Bruno Alves inatakiwa wapimwe akili nahisi moshi wa bangi na viroba vimewaharibu
 
Hii ni chungu sana kumeza aisee, yaani 4 hivi hivi?
Daah haya bana mie nataka Brazil vs Germany Brazil ashinde
 
... hawa waendelee kuomba wasikutane na Pirlo na Balotelli
 
ImageUploadedByJamiiForums1402941227.831409.jpghuyu mama anapenda mpira sana toka south africa yupo na vijana wake mpaka brazili kwa nini msishinde
 
Back
Top Bottom