World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kama ni kweli basi watakuwa wamefanya timing nzuri kwa serikali yao,
ila haimake sense itakwaje waanze mechi halafu wasusie half time.

Wanataka nchi ifungiwe na FIFA wao wakapige zao kazi huko ughaibuni coz hizi nchi za kiafrika utawala wao ni wa kishenzi tu
 
Wapendwa nalala ili niamke nicheck Ghana coz siwezi mkosa Gyan nampenda sana.
Hawa wapopo hata wakifunga ni goli moja tu au wanatoka draw ya bila kufungana. Later kwa tutakaokuwa hapa kwaajili ya Ghana.
 
Hahahaha Tume ya Katiba umenichekesha sana daa.
 
Last edited by a moderator:
Butua butua tu mimi sijaona bado walah na hii timu ya nigeria ikikutana na colombia inakandamizwa bao kumi yaani jamaaa wanacheza na vibooonde lakini wanashondwa kuitumia fursa.

Kweli kabisa kaka
 
Wapendwa nalala ili niamke nicheck Ghana coz siwezi mkosa Gyan nampenda sana.
Hawa wapopo hata wakifunga ni goli moja tu au wanatoka draw ya bila kufungana. Later kwa tutakaokuwa hapa kwaajili ya Ghana.

Kweli mkuu hawa Naijeria watuzingua tu heri tusubiri Ghana wanaume wa kweli.
 
Butua butua tu mimi sijaona bado walah na hii timu ya nigeria ikikutana na colombia inakandamizwa bao kumi yaani jamaaa wanacheza na vibooonde lakini wanashondwa kuitumia fursa.
ndugu yangu, wakikutana na Switzerland wangefungwa mengi sana...Switzerland wana mpira aisee na IQ zao kubwa!
 
Mhhhhh! Haya banaaa!!!! mie nikichungulia kwenye hiki kibuyu changu πŸ™‚πŸ™‚ Naona wapopo wakikaza buti wanaweza kushinda kwa 1-0

Game hii 2-0 wapopoo watalizwa
 
Nigeria wameshanikatisha tamaa.game yao ya kushinda ilikuwa ni hii, wakishindwa hapa basi tena.
 
Wapendwa nalala ili niamke nicheck Ghana coz siwezi mkosa Gyan nampenda sana.
Hawa wapopo hata wakifunga ni goli moja tu au wanatoka draw ya bila kufungana. Later kwa tutakaokuwa hapa kwaajili ya Ghana.
Mtani na wewe umegoma Mpaka upewe posho?
 
Wapendwa nalala ili niamke nicheck Ghana coz siwezi mkosa Gyan nampenda sana.
Hawa wapopo hata wakifunga ni goli moja tu au wanatoka draw ya bila kufungana. Later kwa tutakaokuwa hapa kwaajili ya Ghana.

Nenda mama miye nikilala ndo nitolee hakuna wa kuniamsha.
 
Mhhhhh! Haya banaaa!!!! mie nikichungulia kwenye hiki kibuyu changu πŸ™‚πŸ™‚ Naona wapopo wakikaza buti wanaweza kushinda kwa 1-0

Tuone nani mtabiri mkali lol....
 
Reactions: BAK
Waafrika bana. eti dangerous attack 23 lakini hawana hata kagoli?

IRA NGA
[TABLE="class: table statistics-block, width: 100%"]
[TR]
[TD="class: stats-value, align: center"]7[/TD]
[TD="class: stats-name, align: center"]DANGEROUS ATTACKS[/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]23[/TD]
[TD="class: right-shld, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-shld, align: center"][/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]2[/TD]
[TD="class: stats-name, align: center"]TOTAL ATTEMPTS[/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]5[/TD]
[TD="class: right-shld, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-shld, align: center"][/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]4[/TD]
[TD="class: stats-name, align: center"]DELIVERIES IN PENALTY AREA[/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]3[/TD]
[TD="class: right-shld, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-shld, align: center"][/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]19[/TD]
[TD="class: stats-name, align: center"]CLEARANCES[/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]7[/TD]
[TD="class: right-shld, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-shld, align: center"][/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]102[/TD]
[TD="class: stats-name, align: center"]PASSES COMPLETED[/TD]
[TD="class: stats-value, align: center"]248[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wanaijeria wanakimbiakimbia tu na mpira kama wezi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…