Naona vijana wako leo wana hali ngumu,wanachezea sharubu za wakroashia natabili full time Croatia 2-1 Brazil.
Hablo espanol y no portugués
Yule refa hana kiwango kabisa cha kuchezesha World Cup otherwise labda alipewa maelekezo,kwa mpira wa jana Brazil anaweza kufungwa hata na England
sikuweza kukaa had saa 5
Hablo espanol y no portugués
Kila nabii na zama zake.....hakuna cha kushangaaa....hata Pele na Maradona ni watazamaji siku hizi
Unamdhiaki ronaldinho leo?...kila mtu ana wakat wake Dinho kang'aa Worl cup mbili 2002 na 2006 subiri uone kama hawa wa sasa unaowasifia watakuwa hivyo
Wadau,
Naamini wengi wenu kama sio wote mlikuwa Brazil kwa muda kuangalia wenyeji Brazil wakipambana na Croatia. Mechi iliisha kwa Brazil kushinda na kufunga magoli matatu.
Kabla ya mechi kuna chipukizi walirusha njiwa watatu. Wale chipukizi ndio kamati yao ya ufundi nini? Njiwa watatu, magoli matatu. Inaelekea tunakosea hata kwenye kamati zetu za ufundi. Wakati umefika wa kuwakabidhi chipukizi kamati
Wakatabahu
Hakushinda .......kabebwa..
Wanasema mcheza kwao hutunzwa....