World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Lakini sio vibaya tukahoji. Kwa nini njiwa 3 na zikafungwa goli 3? Mchangiaji mwingine amesema eti wale njiwa hawakuwa wa Brazil, walikuwa wa wapi?

Tiba

huyu nimemshangaa, na kuna kitu kingine kilikua kwa Neymar........
 
kwa mwendo ule,brazil imebahatisha sana robo mwisho,pambav yan inabebwa tu
 

Washirikina Na Waswahili Utawajua tu........!!!!!!!!!!!!!! Yale Yale Ya Kibongo bongo Ya Usimba Na Uyanga Wetu.
 
Watanzania hatuna budi kuwapa hongera TBC kwa uzinduzi mzuri walioufanya jana pale TBC garden na kuaaliaka watu mbalimbali kusherehesha uzinduzi wa KOMBE LA DUNIA 2014 - BRAZIL

HONGERA SANA....MMEONYESHA UKOMAVU.

TANZANIA YETU SOTE.
 
mmmh huo mwaliko ulizingatia vigezo gani?i....mbona hawakutangaza!!!
 
Yule refa hana kiwango kabisa cha kuchezesha World Cup otherwise labda alipewa maelekezo,kwa mpira wa jana Brazil anaweza kufungwa hata na England

Kumbuka mabingwa wa dunia Spain alichezea 3-0 pale pale mwaka jana kwenye kombe la mabara na timu hiyo hiyo.
 
Katika ile mechi ya ufunguzi nadhani Oscar was the man of the match jinsi alivyoiokoa Brazil kwa mchezo wake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…