Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Uchawi uko huku kwenu, kule ni soka mkuu wale njiwa si kwamba walikuwa wa brazil
ebho!!! funguka basi...........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi uko huku kwenu, kule ni soka mkuu wale njiwa si kwamba walikuwa wa brazil
How do you rule out coincidence, we kesho utatafuta viungo vya albino ukianza kujielekeza kuamini hivyo, hayo!
Lakini sio vibaya tukahoji. Kwa nini njiwa 3 na zikafungwa goli 3? Mchangiaji mwingine amesema eti wale njiwa hawakuwa wa Brazil, walikuwa wa wapi?
Tiba
Jamani eeeh twendeni makazini, muda ndo huu wa kuamka.
Brazil hongera vipaji binafsi vimeeleza
Wadau,
Naamini wengi wenu kama sio wote mlikuwa Brazil kwa muda kuangalia wenyeji Brazil wakipambana na Croatia. Mechi iliisha kwa Brazil kushinda na kufunga magoli matatu.
Kabla ya mechi kuna chipukizi walirusha njiwa watatu. Wale chipukizi ndio kamati yao ya ufundi nini? Njiwa watatu, magoli matatu. Inaelekea tunakosea hata kwenye kamati zetu za ufundi. Wakati umefika wa kuwakabidhi chipukizi kamati![]()
Wakatabahu
Jitahidi uione hata ya WAZEE wa POSHO na Mexico itakuwa saa 3 usiku
kumbe nanyi ni wapenzi wa soka? Au mnawapa kampani wenza wenu?
Hivi aliamni angeweza kuifunga brasil?coach kaongea kwa uchungu
Washirikina Na Waswahili Utawajua tu........!!!!!!!!!!!!!! Yale Yale Ya Kibongo bongo Ya Usimba Na Uyanga Wetu.
mitanzania inawaza uchawi tu sijui ikoje ..mxxxxxx
huwajui brazil..wewe... Hivi Olic alitolewa au?Kwa uchezaji wa Brazil leo kama hawatabadilika basi kiama chao ni round of 16
Hivi aliamni angeweza kuifunga brasil?
Yule refa hana kiwango kabisa cha kuchezesha World Cup otherwise labda alipewa maelekezo,kwa mpira wa jana Brazil anaweza kufungwa hata na England
mmmh huo mwaliko ulizingatia vigezo gani?i....mbona hawakutangaza!!!