Kuhusu Asamoh Gyan nakukatalia.Ghana inatatizo kubwa katikati, Asamo Gyan na ayu mdogo.
Pale mbele hasa upande wa kulia kwao jamaa anabutua tu wala hajui malengo yake.
Prince Boateng anaweza kubadili mchezo huu kabisa, na kusahihisha makosa ya pass za hovyo kwa ghana.
Mtani hoi hahahahaha
Ghana wamepiga asilimia 46 kwa Atsu ili apige cross kulia football ya zamani wanawapa USA kujuwa nini jamaa wanafanya bora Boateng atazikata kati na Badu muhimu. Kila wakipiga sehemu moja tu USA wanafurahi hawaumizi kichwa.sioni HOW GHANA WILL SCORE....pass pass and pass again thn pass...hawawezi kufunga...aingie KEVIN PRINCE BOATENG apige long range shots kuwachanganya hawa USA....sasa hivi Ghana wana awapiga chenga tu na useless extra passes na crosses
sioni HOW GHANA WILL SCORE....pass pass and pass again thn pass...hawawezi kufunga...aingie KEVIN PRINCE BOATENG apige long range shots kuwachanganya hawa USA....sasa hivi Ghana wana awapiga chenga tu na useless extra passes na crosses
BOATENG anahitajika aje apige mashuti......
Hapo unaingiza Boateng, kazi imekwisha.Huyu Ayew mdogo kwa kweli asirudi kipindi cha pili, anakosaje golden chance ile? Kocha wa Ghana asijifanye anawabana majina makubwa, hii ndio match yao
:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Kuhusu Asamoh Gyan nakukatalia.
bado hajapata supporter mzuri.
dogo Ayew wa kule kulia naona amepanic. cross hazitoisaidia ghana.
by the way ghana wanapiga mpira safi sana. matumaini yapo.
Naona unaimba US silent A tena US......A US.......A ngoja my Blada watoke huko waje kupiga mbili.
Tuseme ukweli tusipende majina makubwa bila kuangalia mchango wao na ushiriki wao kwenye hii timu. Prince Boateng, kwa muda mrefu aliomba kujiuzulu kwenye timu ya taifa ya Ghana, ila alivyoona Ghana inakaribia kufuzu akarudi tena, na hata ile mechi ya kwanza ambayo waliibomoa Misri hakucheza alikuwa benchi na mechi ya pili kule Misri alianzia benchi.
Essien mchango wake naye umekuwa mdogo kwa hii timu, na nani asiyejua kwamba amechuja kias kwamba god father wake Mourhino aliamua kumtema.
Gyan naye anachezea jina, aliamua kufuata hela kucheza ligi za umangani na kukimbia changamoto za ligi za ulaya na hasa alipokuwa EPL, na si ajabu kiwango chake kimeshuka.

Hii ndio mechi nyepesi kwenye kundi letu.