World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ghana inatatizo kubwa katikati, Asamo Gyan na ayu mdogo.

Pale mbele hasa upande wa kulia kwao jamaa anabutua tu wala hajui malengo yake.

Prince Boateng anaweza kubadili mchezo huu kabisa, na kusahihisha makosa ya pass za hovyo kwa ghana.
Kuhusu Asamoh Gyan nakukatalia.
bado hajapata supporter mzuri.
dogo Ayew wa kule kulia naona amepanic. cross hazitoisaidia ghana.
by the way ghana wanapiga mpira safi sana. matumaini yapo.
 
yani watu tumeacha wake zetu tuangalie soma afu tunachapwa tena cha mapemaaa.......
 
sioni HOW GHANA WILL SCORE....pass pass and pass again thn pass...hawawezi kufunga...aingie KEVIN PRINCE BOATENG apige long range shots kuwachanganya hawa USA....sasa hivi Ghana wana awapiga chenga tu na useless extra passes na crosses
Ghana wamepiga asilimia 46 kwa Atsu ili apige cross kulia football ya zamani wanawapa USA kujuwa nini jamaa wanafanya bora Boateng atazikata kati na Badu muhimu. Kila wakipiga sehemu moja tu USA wanafurahi hawaumizi kichwa.
 
sioni HOW GHANA WILL SCORE....pass pass and pass again thn pass...hawawezi kufunga...aingie KEVIN PRINCE BOATENG apige long range shots kuwachanganya hawa USA....sasa hivi Ghana wana awapiga chenga tu na useless extra passes na crosses

Off course hata wakipata hizo minor chances ndio yale ya Jordan Ayew.mwaka 2010 tulisema timu bado changa.sasa huyu mtoto gani hakui?hebu niambieni tatizo letu waafrika ni nini jamani?i'm frustrated kwa kweli!
 
kuna BIG GAP kati ya back four na midfield ya USA....anahitajika mtu kama BOATENG kuja ku-exploit hio gulf hapo kwa attacking through the middle na watapata nafasi za pass za mwisho au mashuti nje kidogo ya box
 
Tuseme ukweli tusipende majina makubwa bila kuangalia mchango wao na ushiriki wao kwenye hii timu. Prince Boateng, kwa muda mrefu aliomba kujiuzulu kwenye timu ya taifa ya Ghana, ila alivyoona Ghana inakaribia kufuzu akarudi tena, na hata ile mechi ya kwanza ambayo waliibomoa Misri hakucheza alikuwa benchi na mechi ya pili kule Misri alianzia benchi.

Essien mchango wake naye umekuwa mdogo kwa hii timu, na nani asiyejua kwamba amechuja kias kwamba god father wake Mourhino aliamua kumtema.

Gyan naye anachezea jina, aliamua kufuata hela kucheza ligi za umangani na kukimbia changamoto za ligi za ulaya na hasa alipokuwa EPL, na si ajabu kiwango chake kimeshuka.
 
Huyu Ayew mdogo kwa kweli asirudi kipindi cha pili, anakosaje golden chance ile? Kocha wa Ghana asijifanye anawabana majina makubwa, hii ndio match yao
Hapo unaingiza Boateng, kazi imekwisha.
 
Kuhusu Asamoh Gyan nakukatalia.
bado hajapata supporter mzuri.
dogo Ayew wa kule kulia naona amepanic. cross hazitoisaidia ghana.
by the way ghana wanapiga mpira safi sana. matumaini yapo.

Mkuu

Usafi wa soccer ni kupiga pass zinazo ashiria au ambazo zinazaa magoli.

Mambo ya chenga twawala sio mpango, tunahitaji ushind, tuendako sio kuzuri mkuu.

Ghana lazima wajisahihishe , wawe na malengo ya kufunga sio kupendeza kwa pass bila magoili
 
Serilakali ya Ghana imepeleka washangiliaji 500 Brazil kwaajili ya hawa Black stars, sasa wakitolewa mapema watarudi nao hao.
 
Mi hawa wanawake wa Iran hata sijawaelewa leo, ndo wamevaaje vile, au hawatarudi home?
 
Tuseme ukweli tusipende majina makubwa bila kuangalia mchango wao na ushiriki wao kwenye hii timu. Prince Boateng, kwa muda mrefu aliomba kujiuzulu kwenye timu ya taifa ya Ghana, ila alivyoona Ghana inakaribia kufuzu akarudi tena, na hata ile mechi ya kwanza ambayo waliibomoa Misri hakucheza alikuwa benchi na mechi ya pili kule Misri alianzia benchi.

Essien mchango wake naye umekuwa mdogo kwa hii timu, na nani asiyejua kwamba amechuja kias kwamba god father wake Mourhino aliamua kumtema.

Gyan naye anachezea jina, aliamua kufuata hela kucheza ligi za umangani na kukimbia changamoto za ligi za ulaya na hasa alipokuwa EPL, na si ajabu kiwango chake kimeshuka.

Asingeyaita hayo majina makubwa then kama hawana mchango.
Haiingii akilini kumuacha bench mtu kama Boateng halafu huyu J.Ayew aanze mbele yake, hawana midfield general mzuri kama Badu lakini yuko bench
Gyan pamoja na kukimbilia pesa bado hana mpinzani kwenye hii team, hebu mtaje mshambuliaji wa kuchukua namba yake kwa sasa
 
Tuseme ukweli tusipende majina makubwa bila kuangalia mchango wao na ushiriki wao kwenye hii timu. Prince Boateng, kwa muda mrefu aliomba kujiuzulu kwenye timu ya taifa ya Ghana, ila alivyoona Ghana inakaribia kufuzu akarudi tena, na hata ile mechi ya kwanza ambayo waliibomoa Misri hakucheza alikuwa benchi na mechi ya pili kule Misri alianzia benchi.

Essien mchango wake naye umekuwa mdogo kwa hii timu, na nani asiyejua kwamba amechuja kias kwamba god father wake Mourhino aliamua kumtema.

Gyan naye anachezea jina, aliamua kufuata hela kucheza ligi za umangani na kukimbia changamoto za ligi za ulaya na hasa alipokuwa EPL, na si ajabu kiwango chake kimeshuka.

kwahio leo hawampangi kwa sababu ya hio issue ya zamani au?? hapa inatakiwa kuangalia maslahi ya timu na sio yaliyotokea zamani. Wasingemchukua kabisa wangefanya la maana
 
Back
Top Bottom