World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Katika ile mechi ya ufunguzi nadhani Oscar was the man of the match jinsi alivyoiokoa Brazil kwa mchezo wake!!

Naam mkuu ndio maana hakuna anaymmisi Kaka, Pato na Ronaldinho!
 
sio kila mfanyakazi anakwenda kazini asubuhi.

Shtuka...

Kwani ilikuwa na ulazima gani ujibu? Hata hapo kwako ni kazini hivyo uamke mapema uende kazini kwako hata kama mama wa nyumbani
 
Unamdhiaki ronaldinho leo?...kila mtu ana wakat wake Dinho kang'aa Worl cup mbili 2002 na 2006 subiri uone kama hawa wa sasa unaowasifia watakuwa hivyo
Ni kweli mkuu hakuna hata mmoja pale mwenye uwezo wa Dinho enzi zake hata kama watachukua kombe bado hawana mchezaji wa vionjo vya Dinho
 
Watanzania hatuna budi kuwapa hongera TBC kwa uzinduzi mzuri walioufanya jana pale TBC garden na kuaaliaka watu mbalimbali kusherehesha uzinduzi wa KOMBE LA DUNIA 2014 - BRAZIL

HONGERA SANA....MMEONYESHA UKOMAVU.

TANZANIA YETU SOTE.
Nilitegemea wangetuunganisha ili tuone zile shamra shamra za ufunguzi lakini bahati mbaya wakaamua kuuza sura zao na kutupa porojo zao kama kawaida. Nadhani inabidi kubadilika kwani maana ya kuwa na kibali cha kuonesha mechi ni pamoja na shamra shamra zake si kungoja muda wa mechi kuanza.
 
Kumbuka mabingwa wa dunia Spain alichezea 3-0 pale pale mwaka jana kwenye kombe la mabara na timu hiyo hiyo.

Kombe la Mabara sio issue mzazi!Kumbuka hata USA mwaka 2009 walitwaa kombe hilo na Misri kufika hadi nusu fainali!

Je USA wanaweza twaa World Cup?Je Misri anaweza hata ingia 16 bora World Cup?

Brazil hii niliyo iona jana hamfungi Spain popote pale World Cup labda wafanye huge over haul!
 
yaah ni wapenzi wa soka
DEMBA upo mtu wangu?Kama una nafasi pls njoo nitembelee Bwalo la Magereza-Ukonga tuangalie Spain na Holland jioni hii rafiki yangu!
 
Last edited by a moderator:

Uliangalia lakin lile kombe la mabara?? Brasil ilipiga vigogo wote na mastaa wao ndani bila hata ya kufika dkk za nyongeza..!! Italia alichezea 4-2.. Kombe ni kombe hakuna anayetaka kupoteza brazil ni timu bora sana nakuambia timu itakayomsumbua brasil kidogo ni German pekee. Bila Marcelo kuwasaidia kujifunga wale jamaa wasingepata kitu.
 
Kweli lakini mpira wa sasa tunakosa burudani ya Gaucho..Maana mimi napenda soka lenye mbwembwe na udambwi udambwi ndani yake. Ushindi muhimu lakin burudani ina umuhimu wake. Pumzika Gaucho mfalme wa udambwi udambwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…