World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


mkuu vigezo vinafahamika. timu nane huchanguliwa kutoka na FIFA world ranking ya oktoba kabla ya mashindano kuanza (http://en.wikipedia.org/wiki/2014_FIFA_World_Cup_seeding)
( yaani oktoba 2013 ndiyo iliyoamua nani anatakuwa kwenye 7 bora ukijumlisha na muandaaji kuwa 8). kinachofanyika ni kuangalia timu bora nane za kwanza ambazo zimefuzu katika fainali. Ingawa hapa chini unakuta brazil alikuwa namba 11 bado yeye alikuwa kinara wa kundi kwa vile ni muandaaaji wa mashindano. soma zaizi kwenye hii link FIFA World Cup 2014: Pre-Tournament Team Power Rankings | Bleacher Report
hapa chini ni FIFA Ranking October 2013 ambayio ndiyo iliamua nani atakuwa kinara kwenye makundi nane.

Brazil (hosts) 11
Spain 1
Germany 2
Argentina 3
Colombia 4
Belgium 5
Uruguay 6
Switzerland 7

hao juu hapo ndiyo walikuwa vinara wa makundi

Netherlands 8
Italy 9
England 10
Chile 12
United States 13
 
mimi ni team Algeria,binamu zangu hawa,tukikutana tunaitana kuzan au kuzini
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Hahahahaha umezikimbia mechi nyingine na kuichagua hiyo rahisi πŸ™‚πŸ™‚ pamoja na hayo hujaweka magoli lol!!!! πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Mie utabiri wangu Belgium 3 Algeria 2, Brazil 3 Mexico 1 na Russia 2 Korea 1

Nlifkir mechi ya mwanzo itanipita ndio naamka sasa.....tuendelee na utabiri

Belgiun 2-algeria 1

Brazil 3-mexico 1

Hiyo ya warusi niache ntatabir baadae....

Haya andaa macho gemu yaanza soon alafu weye timu nani yakheeee usiniambie ni spain ntakununia lol
 
Reactions: BAK
Algeria wana mpambano mgumu sana leo hasa nikiangalia watabe wa Belgium kama Lukaku, Kompany, Hazard na Dembele ni balaa tupu.
 
Hawa Beligium majina yanawabeba sana ila naona Algeria wataweza shinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…