Ingawa Algeria wanaongoza sifikiri kama tutatoka hapa, yaani naona dro kama ushindi vile. Kipindi cha pili kinaweza kutupata kiama, hawa jamaa wakigundua njia ya kupita kilio kitatuangukia.
Tuishabikie Belgie sababu ni moja ya donors wakubwa wa budget ya serikali ya Tanzania.Makamanda wote kwa pamoja tuishabikie Algeria kwa kuwa wametupa teknolojia ya gesi
Algeria ina beki nzuri sana na kipa mzuri sana lakini bahati mbaya haina foward wala viungo.
lakini angalau wanaonekana wanacheza kwa nidhamu kama walivyofundishwa tofauti na Nigeria.
Hata mimi nilikuwa nafuatilia ghafla siuoni?
felaini anaingia ila kwa mpira huu ambao hauna plan B aljeria atashinda hii mechi