World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ingawa Algeria wanaongoza sifikiri kama tutatoka hapa, yaani naona dro kama ushindi vile. Kipindi cha pili kinaweza kutupata kiama, hawa jamaa wakigundua njia ya kupita kilio kitatuangukia.

Unachosema ni sawa ila hatutaki kitokee, kibongobongo tunasema usituwangie, lets wait for the final results
 
Algeria ina beki nzuri sana na kipa mzuri sana lakini bahati mbaya haina foward wala viungo.
lakini angalau wanaonekana wanacheza kwa nidhamu kama walivyofundishwa tofauti na Nigeria.

Ni kweli kabisa
 
Haya mi naendeleza updates hapa hapa, Algeria 1 - 0 Belgium dakika ni ya 64
 
mwenyewe nimeshangaa kama zile siredi za jason bourne. anway inawezekana kuna kitu wanakirekebisha kwenye huo uzi
 
Mashambulizi yanaelekea kotekote kwa hiyo mchezo umebalance. Mod mkirudi hewani mtujuze.
 
felaini anaingia ila kwa mpira huu ambao hauna plan B aljeria atashinda hii mechi
 
Ubelgiji wanakosakosa hapa duu hatari sana wakati huohuo algeria wanafanya mabadiliko anatoka abedou anaingia islam
 
Haya twendelee hapa .. Origi (mkenya) hatari kweli kweli ........
 
Mpira ni mkali mashambulizi ya kushtukiza yanatia presha ila kipa wetu anafanya kazi ya ziada
 
Back
Top Bottom