[MENTION]everlenk [/MENTION]upo upande gani? chile au spain
Thomas muller ndo anatishia maisha tu hapo
Na ile mechi ya tatu Simba wasiofugika wanaaga!
Hawa Algeria sijawahi kuwaona, nimesoma baadhi ya comments za watu wanaisifia, ngoja tuone itakavyokuwa ila Belgium wana timu nzuri sana
nikiambiwa niandike simu ya maneno,ntaandika hivi"CHILE TIMU PIGA HAO 5PAIN WIKI WAKALALE KWAO.Dullyjr"
Mtakaa nawaambia, sanchez lazima awalize
Hahahaha! Nawapenda Spain but for today niko Chile sitaki stress, halafu leo niko hatiani sitokesha kwa kweli !!!!!!
Hi adolay...was busy the whole day... came back home around saa moja umeme umekatika na kijenereta kibovu....ndio umerudi mud a huu.
Am solo mad to miss the previous game...
Nasubiria kwa hamu hii
Anashinda Chile,Spain wajipange sana kwa game walionyesha juzi ni wazi Chile ana nafasi.
Kwamba mimi nina mkosi??
Ulikuwa wapi,watu wameshafunga virago,sasa Spain nae anajiandaa kufangasha,leo hakuna kulala
Kama ni mshabiki wa Soka halafu hujawahi kuiona Algeria kuna tatzo hapo mkuu. WC2010 walicheza mechi za kufuzu na Misri, ngoma ikawa tete hadi ikachezwa mechi ya tatu kwenye uwanja neutral.
Hahaaa #teamHolland saafiii? Ajan roben saafii? Van p je? Mtasanda sana mwaka huu msioipenda Holland ngoja niwaletee kitu nilichokitabiri mapemaaa.. Katavi mambo?
Jamani mlisemaje vile hapa chini?
Nami niliwajibuje vile? Hahaaa.... Hebu nisomeni tena
Goli la Tim Cahill vs Uholanzi linaweza kuwa ndio goli bora hadi sasa...
[video=dailymotion;x1zsae4]http://www.dailymotion.com/video/x1zsae4_cahill-amazing-goal-australia-vs-netherlands-1-1-world-cup-brazil-18-06-14_sport[/video]