World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Thomas muller ndo anatishia maisha tu hapo


Mwaka huu wataalam au mafundi niwengi.

Zaidi nimwaka ambao magoli yanafungika sana

Hivyo sio rahisi kiasi hicho.

bado akina mesi, vanmagoli, roben, nk wanakuja kwa speed ya kutisha mkuu
 
Hawa Algeria sijawahi kuwaona, nimesoma baadhi ya comments za watu wanaisifia, ngoja tuone itakavyokuwa ila Belgium wana timu nzuri sana

Kama ni mshabiki wa Soka halafu hujawahi kuiona Algeria kuna tatzo hapo mkuu. WC2010 walicheza mechi za kufuzu na Misri, ngoma ikawa tete hadi ikachezwa mechi ya tatu kwenye uwanja neutral.
 
Hey TATIANA ulikuwa wapi?

umekosa uhundo wewe!!!!!du

Hi adolay...was busy the whole day... came back home around saa moja umeme umekatika na kijenereta kibovu....ndio umerudi mud a huu.
Am solo mad to miss the previous game...
Nasubiria kwa hamu hii
 
Last edited by a moderator:
Goli la Tim Cahill vs Uholanzi linaweza kuwa ndio goli bora hadi sasa...

[video=dailymotion;x1zsae4]http://www.dailymotion.com/video/x1zsae4_cahill-amazing-goal-australia-vs-netherlands-1-1-world-cup-brazil-18-06-14_sport[/video]​

CC: vanmedy
 
Last edited by a moderator:
Ulikuwa wapi,watu wameshafunga virago,sasa Spain nae anajiandaa kufangasha,leo hakuna kulala

Hahahaaa...yaani nimemis Sana...nnilikuwa busy na mambomambo narudi around saa moja no umeme kijenereta hakiwaki basi nikawa mdogo ka poriton.

Uuuh....Let me grab a bottle of wine.... the show is about to start
 
IVORY wamejaa mabishoo hawapendi kuumia Algeria ovyo bora stars cameron walevi wagongo Nigeria ptuu!ghana ok ilakuzidiw
 
Kama ni mshabiki wa Soka halafu hujawahi kuiona Algeria kuna tatzo hapo mkuu. WC2010 walicheza mechi za kufuzu na Misri, ngoma ikawa tete hadi ikachezwa mechi ya tatu kwenye uwanja neutral.

Mkuu nilikuwa ninazungumzia kuwaona recently ... siwezi kuipima timu ubora wake kwa kwa performance ya 2010

Mechi hiyo ninakumbuka ilikuwa na vurugu pia {Algeria vs Egypt}

Algeria nimewaona jana ....... sio wazuri kihivyo ingawa wanaweza kusonga mbele
 
Hahaaa #teamHolland saafiii? Ajan roben saafii? Van p je? Mtasanda sana mwaka huu msioipenda Holland ngoja niwaletee kitu nilichokitabiri mapemaaa.. Katavi mambo?

Jamani mlisemaje vile hapa chini?




Nami niliwajibuje vile? Hahaaa.... Hebu nisomeni tena

Hahahah Leo Skype umeamka vizuri hongera zako
 
Last edited by a moderator:
Goli la Tim Cahill vs Uholanzi linaweza kuwa ndio goli bora hadi sasa...

[video=dailymotion;x1zsae4]http://www.dailymotion.com/video/x1zsae4_cahill-amazing-goal-australia-vs-netherlands-1-1-world-cup-brazil-18-06-14_sport[/video]


Goli bora mpaka sasa ni la van persie. Naamin linawezakuwa la mashindano kwa asilimia 90%

Goli la kichwa cha kudaive dhidi ya Spain
 
Back
Top Bottom