Ngoja namimi niwe upande wako team chile............Tatizo hukeshi!!!!
Ya pili nipo, saa 7 niko hatiani, nishawishi basi nichepuke!! Unajua inauma ukeshe halafu ufungwe kama ile juzi ya Ghana!
binafsi nimeumia sana kwa hii timu ta watoto wa malkia. kwa kweli wamejituma sana kitimu na walistahili kusonga mbele hatua ya mtoano ila mechi ya kwanza imewaharibia.
Utakesha?
Wakuu vp kuhusu Cameroon? Hakuna mtu mwenye matumaini nayo?
Kama kawa...