Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Wazee wa mzigo nawashauri tena,achaneni na hii WC,si salama kwa mshahara wako.
Wazee wa mzigo nawashauri tena,achaneni na hii WC,si salama kwa mshahara wako.
hahahaaaaa ba kidawa tem spain nilirnda kaka imebdi nirudi nimpepee mana hali mbaya hadi huruma na kulala hataki
Hivi wachezaji wa Spain kwa nini wakipiga chenga wanamsubiria adui aliyempiga chenga aje amkabe tena? au ndo mafundisho yao.
Ukisikia paaah!!!! Ujue Spain kalizwa.
Kama Spain watafungwa leo, itakuwa ni mara ya kwanza kwa watetezi wa Kombe la Dunia kuwa wa kwanza kutolewa.
Finally atakuwa nani na nani we unahis?
Italy yangu nayo uchezaji wake hauniridhishi..
Kwa nini?
Finally atakuwa nani na nani we unahis?
Kama Spain watafungwa leo, itakuwa ni mara ya kwanza kwa watetezi wa Kombe la Dunia kuwa wa kwanza kutolewa.