World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi wachezaji wa Spain kwa nini wakipiga chenga wanamsubiria adui aliyempiga chenga aje amkabe tena? au ndo mafundisho yao.
 
Kama Spain watafungwa leo, itakuwa ni mara ya kwanza kwa watetezi wa Kombe la Dunia kuwa wa kwanza kutolewa.
 
Tunaisubiri nayo Brazil iungane na Spain, lakin kuna nani Spain. Kwanza ni wao ndiyo wanaongoza ubora wa soka duniani kwa miaka 4 mfululizo. Hebu ona kuna javi Martinez,fabrigas,mata,Alonso,Silva,aniesta,xavi,bousequest,
 
Tim hispania wataanza kuvunja tundu mmoja badala ya mwingine.
 
Kwa nini?

Haitabiriki,hakuna mkubwa wala mdogo timu yoyote inapigika saa yoyote,watu wamejiandaa aisee,sikutegemea matokeo niyaonayo hadi sasa.halafu kiwango cha soka kinachoonyeshwa na timu nyingi ni cha juu mno.ni burudani sana.hii ndio soka tunayotaka kuiona mashabiki.
 
Back
Top Bottom