World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu kocha wa spain mbuzi kweli....hataki kufanya mabadiliko while kuna watu wanachemsha live....namna hii kipigo ni haki....

Umeona Mkuu? Nashindwa kumwelewa kabisa, watu hawajitumi kabisa maanake nini? Mashine ziko kule nje anabaki kujishika kichwa tu! tumba.f kabisa huyu wacha wapigwe!
 
Daa Messi ange ruhusiwa kucheza timu mbili ili awasaidie spain!
 
Nilifikiri ni timu za Africa tu ndo huwa zinapiga nje hata kama mchezaji wapo na kipa tu.
 
Umeona Mkuu? Nashindwa kumwelewa kabisa, watu hawajitumi kabisa maanake nini? Mashine ziko kule nje anabaki kujishika kichwa tu! tumba.f kabisa huyu wacha wapigwe!

manjagata hadi nimecheka kwa komenti yako
 
FACTS:

Hali ya hewa ya Brazil inawaathiri sana wachezaji wa spain kiasi cha kucheza chini ya kiwango.......

#teamspain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…