Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
angekuwa straika tegemeo wa brazil hivi sasa.
Kweli ndugu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angekuwa straika tegemeo wa brazil hivi sasa.
angekuwa straika tegemeo wa brazil hivi sasa.
Huyu kocha wa spain mbuzi kweli....hataki kufanya mabadiliko while kuna watu wanachemsha live....namna hii kipigo ni haki....
Spain wamekosa goli la wazi kabisa hapa.Nani kakosa goli nasikia watu wanazomea?
Fact:Spain watashinda hii game,kama tu David Moyes atakua kocha wa Chile leo
Fact:Spain watashinda hii game,kama tu David Moyes atakua kocha wa Chile leo
Asijute sana kwa kiwango hiki hata angebaki Brazil asingepata namba.....![]()
Facts: Diego Costa alibadilisa uraia na kuwa muhispania....Leo anajutia maamuzi yake
Umeona Mkuu? Nashindwa kumwelewa kabisa, watu hawajitumi kabisa maanake nini? Mashine ziko kule nje anabaki kujishika kichwa tu! tumba.f kabisa huyu wacha wapigwe!
Spain wamekosa goli la wazi kabisa hapa.
rubaman wewe si ulikuwa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamSpain]#TeamSpain [/URL] umebadilisha muelekeo?
miss chagga si uende kuangalia unakosa burudani.Nani kakosa goli nasikia watu wanazomea?