World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Karne hii ya Viselfie tusitegemee timu yoyote ya Afrika na timu ya England kufanya vizuri katika Kombe la Dunia. Afrika hatuna discipline yoyote angalia tunavyofungwa namna hii. Watu badala ya kuwa serious wanavaa kata K mambo gani hayo... Haya fungasheni mizigo.
 
naubaguzi wao waache wapite kushoto ukiongeza Laana ya kumchukua COSTA ndo kabisaaaa...
Adios Adios Adios
 


Jamani namtafuta Cesc nachikia yupo mitaa hii ... ... ...
khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hawa Cameroon utadhani wameokotana mtaani na kuletwa katika Kombe la dunia. Hakuna cha kuelewana, sijaona hata pasi mbili zilizokamilishwa na hawa vyura. Bora hata Ivory Coast aisee
 

Pole sana ndg yangu mi ndo nakataa mambo haya ya team za Africa hatujawahi kuwa serious hata siku moja km tunataka kombe
 
Jana kuna wakuu wawili nilipenda comments zao, mmoja alisema inabidi Africa iwe inaingiza timu moja tuu kwenye Kombe la Dunia halafu inabidi nchi kama Germany iwe inaruhusiwa kuwa na timu mbili [Germany 1 na Germany 2}

Kwa namna fulani naona walichosema kina maana sana
 
Uzuri ni kwamba safari hii timu ya Africa haitakuwa ya kwanza kufungishwa virago ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…