World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

naubaguzi wao waache wapite kushoto ukiongeza Laana ya kumchukua COSTA ndo kabisaaaa...
Adios Adios Adios

hyo costa ana mikosi sana,cku ya kubeba ndoo ya la liga aliumia hakumaliza mechi,fainali ya eufa nayo katoka dakika za mwanzo,kumbe la dunia kachukua uraia acheze spain nao wametolewa mapema... Kwa uswaz 2naxema jamaa ana kima.v.i labda pia ndo amepeleka gundu spain
 
naubaguzi wao waache wapite kushoto ukiongeza Laana ya kumchukua COSTA ndo kabisaaaa...
Adios Adios Adios

hyo costa ana mikosi sana,cku ya kubeba ndoo ya la liga aliumia hakumaliza mechi,fainali ya eufa nayo katoka dakika za mwanzo,kumbe la dunia kachukua uraia acheze spain nao wametolewa mapema... Kwa uswaz 2naxema jamaa ana kima.v.i labda pia ndo amepeleka gundu spain xabubu wachezaji karibu wote ni raia wa kuzaliwa kasoro yy
 
Africa kama teams zetu nzuri na hii Cameroon ni moja wapo basi sisi tuna matatizo makubwa sana kwa kweli
 
Hii pitch ilivyo! Camera ikizoom unaona vipara kibao kama barabara ya Morogoro.
 
Aheri angekuja "Walya Antelope"wakiwa na maana ya "Swala wa misitu ya Walya"timu ya Taifa ya Ethiopia
 
Kipa lao vipi hili? badala ya kuuacha mpira utoke nje linajaribu kudaka.
 
Huyu mweusi wa Croatia anatokea nchi gani au na yeye ni mbrazil?
 
LOL kapewa ticket ya kurudi home mapema. Barca nao watamtema kama walivyomtema Cesc. Jamaa lijinga kweli, limesababisha timu yao ipigwe migoli sasa. Nafasi ya kusawazisha ndo imesharuka na ndege.
 
Back
Top Bottom