World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Barca watamtupa nje tu.. Kama Cesc na uzuri wake aliambiwa hana chake unadhani huyu mvuta bangi wa Tandale ya Younde ataambiwa nini?

Hana wasiwasi akifukuzwa mitaa ya Catalan atarudi "Home" Emirates Stadium
 
Barca watamtupa nje tu.. Kama Cesc na uzuri wake aliambiwa hana chake unadhani huyu mvuta bangi wa Tandale ya Younde ataambiwa nini?

mijitu kama Song ndiyo inayopelekea Africa tudharauliwe duniani.
 
Yaani Cameroon bange sana sasa unampiga mtu ngumi utafikiri ligi za mchangani Africa team ni fools kabisa
 
Kitendo cha aibu sana alichofanya song, unamtifua mtu kipepsi cha mgongo akiwa hana hata mpira?? Aahhhh!!!
 
Mpaka sasa sielewi alikuwa anafikiria nini pale.... jamaa halafu huwezi kuamini anachezea moja kati ya timu kubwa duniani

Haki ya Mungu. Sipati picha ya sababu iliyomfanya afanye hivi. Haya mambo tulikuwa tunafanya primary mchakamchaka na tulikuwa tuna sababu nzuri kuliko huu ujinga aliofanya mbele ya Dunia nzima. Afu hii timu ya Cameroon haki ya Nani ipo ovyo kama vile haina kocha. Afadhali hata Taifa Stars iliyocheza katika qualifications za World Cup. Subirini watafungwa magoli kumi leo.
 
Mtanipa matokeo kesho...nalala mapemaaaaaaaa saa moja usiku
 
Back
Top Bottom