World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ujinga ujinga huwa sitaki kabisaa babaake piga tu funga kabisa hao .wakiongozwa na song
 
Nina wasiwasi huyu goalkeeper Ponda labda yuko kwenye syndicate ya gamblers . katoa pasi kwa mchezaji wa timu pinzani halafu anaachia goli kirahisi mpaka inatia shaka
 
Poleni sana wanazi wa hii timu ndo bas tena..

Sent from my iPhone 4 using JamiiForums

sidhani kama timu na tik-tak ndo basi tena....nadhani ni basi kwa kizazi hichi ...akina Alonso ,Xavi ,Casillas na wengineo.... Sasa ni zamu ya kizazi kipya. Akina Koke ,Isco, Alcantara, De Gea na wenginro
 
Usiku mwema wadau wote humu. Hao ndugu zetu safari tayari, wakamilishe mechi ya mwisho basi na ndio timu ya kwanza Afrika kuondoka aibu yao, kwa timu ambayo ilishawahi fika hadi robo fainali.
 
Hawa Croatia nao wanazengua sasa! Wajipigie tu hapo ....kama angekua ni demu tunamuita CHA WoTe
 
Mh hakika Africa tuna safari ndefu tuna fungwa tuu pole kwa Cameroonian
 
Mi sijui ni-logout tu maana hii mechi inaweza kunipa ban ya maisha yani nimekasirika kishenzi.
 
Usiku mwema wadau wote humu. Hao ndugu zetu safari tayari, wakamilishe mechi ya mwisho basi na ndio timu ya kwanza Afrika kuondoka aibu yao, kwa timu ambayo ilishawahi fika hadi robo fainali.

walisha wahi fika robo final mwaka gani??
 
Back
Top Bottom