Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampiga kipepsi/kiwiko mchezaji wa Croatia kwa makusudi
Mm binti anajiangalizia tu cartoon huko chini!Hapa nipo nje natumia simu!Heri nipunge upepo tu
Cameroon uharo mtupu
Asante mkuu,maana habari wengine tunapata humu.belgium 2- algeria 1
Alex Song dah nini tena? kama anachezea Abajalo vile
Kipa lao vipi hili? badala ya kuuacha mpira utoke nje linajaribu kudaka.
hili jamaaa ovyo sana aiseee kafanya upuuzi ambao unaigharim sana timu.
hivi hii ngozi nyeusi tutakuja elimika.kweli
Ndio maana Barca wanamsugulisha benchi
Wachezaji kama hao wasiokuwa na nidhamu , unatakiwa unafukuza tuu
Ndio maana Barca wanamsugulisha benchi
Wachezaji kama hao wasiokuwa na nidhamu , unatakiwa unafukuza tuu
Song alidhani yeye ni Rooney anayeweza ku-get away na fujo uwanjani nini? Afadhali Rooney huwa anakula miwa huku anakimbia mtu unashindwa kujua kama ilikuwa makusudi au la, Song sijui alikuwa anafikiria nini? Mambo kama haya ndo yanayowafanya watuite Waafrika majina ya ajabu ajabu duniani.
Barca watamtupa nje tu.. Kama Cesc na uzuri wake aliambiwa hana chake unadhani huyu mvuta bangi wa Tandale ya Younde ataambiwa nini?
Kampiga kipepsi/kiwiko mchezaji wa Croatia kwa makusudi
Eti unakuwa na mchezaji kama Alex song aseee Cameroon wana nidhamu mbovu kabisa