Ndege ya kwenda Yaounde ileeeeeee
TATIANA si ulisema unakesha leo......te te teh
Majanga tuuupu...aagh nikalale miyeee
Uzuri ni kwamba safari hii timu ya Africa haitakuwa ya kwanza kufungishwa virago ...
everlenk unaniangushaAisee! Hata mie naenda kulala,nisikose vyote, yatosha furaha ya leo kwa Holland na Chile,wadau usiku mwema .
Sasa mkiondoka wote itakuaje?
ovyo kabisa hawa simba
Siyo mbaya,sitaki kuharibu furaha yangu kwa Holland na Chile,usiku mwema na ushindi mwema.
Aisee! Hata mie naenda kulala,nisikose vyote, yatosha furaha ya leo kwa Holland na Chile,wadau usiku mwema .
Cameroon ilikuwa ya kina Roger Milla.....aaagh hawa
waafrika tutaendelea kuwa wachmbuzi wa Mpira tu
Umeona eeeeh....