World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Poleni sana wanazi wa hii timu ndo bas tena..


Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
 
nimekuwa nikichunguza kwa WASTANI timu inayoandikwa ya pili kwenye hili kombe la dunia ndio inashinda na wewe fanya utafiti uone
 
Ila Cameroon leo wanajitahidi/wanajituma. Mildfield wameimiliki vizuri ..
 
Hii timu inatia aibu jina la kina Roger Mila, aisee. Timu ipo ipo kama vile ya mchangani, eti nao wapo kombe la Dunia? enzi zile mtu ukisikia Cameroon watacheza leo unakuwa na hamu ya kuwaona walivyo siku hizi wapo ovyo kuliko Simba na Yanga. Aibu sana.
 
Back
Top Bottom