Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
daaa wazee wa posho.Kifo cha Cameroon kimetimia...
Mungu wangu chacharito ana ingia
daaa wazee wa posho.
Duuu nimecheka sana.Kesho Haruna Moshi na Na Athuman Idd Chuji watakua ma_analysts wetu kupitia TBC.
Hawa mexico hawajawahi kuifunga Tz Hata mechi moja toka tupate uhuru.