World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Namuona Dogo wa kuotea anaingia, ukisinzia kidogo tu utashangaa nyavu zinatingishika
 
Kesho Haruna Moshi na Na Athuman Idd Chuji watakua ma_analysts wetu kupitia TBC.
 
Song anajitahidi sna Etoo sioni anachofanya uwanjani
 
ImageUploadedByJamiiForums1402681293.093360.jpg
 
Hawa mexico hawajawahi kuifunga Tz Hata mechi moja toka tupate uhuru.
 
Hivi Emana yuko kwenye squad? Kuna mhaya mmoja hapa analalamika kwa nini haiigii!
 
Wanacheza mpira wa kizee kasi ndogooo sijui kwakuwa kucha wao babu afu anaona madudu hata hasemi. Yaani nimejiuliza walifikaje fikaje hapoo. Nimeshindwa kuwatofautisha na Taifa stars yetu kwa kweli hawafai kabisaaa
 
Back
Top Bottom