World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hawa cameroun wana wenge jamani sijui wamekunywa juice ya vitunguu na dagaa, daah yani nasikia hasira jaman goli nne labda kesho ivory coast watatufariji
 
Afrika kazi yetu vita za kikabila tu. Mambo mengine hatuwezi
 
Hilo goli la 4 naona offsiade lakini refa kawapa tu.

Refa keshayachoka makameruni, kaamua acha yafungwe tu, maana yanatia hasira. Tena ikiwezekana awape Croatia penati ya makusudi ili jamaa wakamilishe mkono kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…