AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Kazi kunyoa viduku ,kupaka kalikiti na kuvaa kata k
Mkuu akili zao zote zinawaza viduku tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kunyoa viduku ,kupaka kalikiti na kuvaa kata k
walisha wahi fika robo final mwaka gani??
walisha wahi fika robo final mwaka gani??
hongera zako mzungu..Waafrika poleni
Mi sijui ni-logout tu maana hii mechi inaweza kunipa ban ya maisha yani nimekasirika kishenzi.
hongera zako mzungu..
mwaka 1990,
mwaka 1990,
Hilo goli la 4 naona offsiade lakini refa kawapa tu.
bora yao maana bongo hata makundi tu ishu..
Refa keshayachoka makameruni, kaamua acha yafungwe tu, maana yanatia hasira. Tena ikiwezekana awape Croatia penati ya makusudi ili jamaa wakamilishe mkono kabisa