AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Wana miili mikubwa lakini akili ya mpira hakuna
walisha wahi fika robo final mwaka gani??
Refa keshayachoka makameruni, kaamua acha yafungwe tu, maana yanatia hasira. Tena ikiwezekana awape Croatia penati ya makusudi ili jamaa wakamilishe mkono kabisa
halafu mbinu zimwaishia wanakimbiza makalio tu uwanjani
halafu mbinu zimwaishia wanakimbiza makalio tu uwanjani
wangekuja tukawapa samata.
Hawa Cameroon soka imeshawashinda nao wamekaa kama mabaunsa tu.