World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Binti yangu haamini kama nime mruhusu leo aone "Scoob Scoob Do cartoon"ahahahah!

Kila team ya Afrika ikicheza binti yangu atakuwa anafaidi cartoons zake
 
Dah! Safari ni ndefu kwa waafrika kwenye mpira hatujui kufunga kabisaaa!
 
Tatizo la cameroon paso za mwisho ni tatizo
.. walau wanaweza kukimbiza mpira
 
Trademark yao kama SIMBA ASIYE FUGIKA waiache haraka!Hawa ni BATA ANAYEFUGIKA
 
Timu za Afrika wafundishwe kupiga golini ni.mazero kabisa, kama hayajapaisha yanapiga pembeni. Yamekosa magoli ya wazi kabisa, juu wanakopiga kuna nini? wamenikasirisha hawa.
 
10432151_449596888511112_2321796492185996649_n.jpg
 
KWELI hawa kenge wamezoea fujo na mavurugu wameamua kutiana timbwili wao kwa wao
 
Back
Top Bottom