masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
bomu litalipuka kwenye worldcup natabiri
Wanacheza mpira wa kizee kasi ndogooo sijui kwakuwa kucha wao babu afu anaona madudu hata hasemi. Yaani nimejiuliza walifikaje fikaje hapoo. Nimeshindwa kuwatofautisha na Taifa stars yetu kwa kweli hawafai kabisaaa
acha kutoa povuuu
ushatoa post ya kinoko kule unakuja tena huku
kule umesema UMEONA TANGAZO KUWA LITALIPUKA
hapa unasema NATABIRI acha mambo ya kike wanaume tunacheki gemu

Mimi huwa namuona huyo Thinkyyy kama tahira flani hivi..
Msamehe,,,,,,inaboa mwanaume kutafuta cheap attention namna hii
hawa nadhani katika kundi lao watashika mkia
hujambo dada masai?
Kidogo wanaonesha uhai mida hii
Kocha wa Kameruni hata haongei kama mwenzake wa mexico, inaonekna karidhika na uchezaji huu.