masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Ha ha ha wanaume tuna zingatia ya brazil
game pekee ambayo Cameroon wangeweza kushinda ilikuwa ni hii ya leo.
Game zilizobaki wasitegemee hata droo.
Sababu am the only one at home ndo maana naangalia mwenyeweHehe ivi kuna raha ya kucheki game alone
Daah!! etooo bado kidogo angesababisha
Africa bado sana World Cup na tunazidi kurudi nyuma sababu ya wachezaji wetu kuiga uchezaji wa Ulaya;tumepoteza identity yetu!
Mwaka 1990's Cameroon walitisha kombe la dunia sababu wachezaji wake wengi walikuwa wanacheza ligi ya nyumbani!
Kikosi cha kwanza akina:
Jules Onana
Steven Tatawi
Emanuel Kunde
Cyril Makanaki
Ebwele
Massing
Walifika round ya pili kwa wachezaji wengi wa Tonoure Younde;timu ya nyumbani
Mkuu kuna muda kipa wao ali save mpira hata haukua mchomo mkari akalala na kulala kama ile makipa wanayopoteza muda wakiwa wanaongoza yaani nilijiuliza nikasema huyu kipa analala wakati hata goli moja hawajafunga na ndo kwanza wana hali mbaya kusema ukweli hawakuja kimashindano kabisa. Jana Croatia walionyesha upinzani na pale bila refa kufunika baadhi ya faulo Brazil alikuwa kashikwa sasa hawa yaani sijui wanaenda wapi
Hongera kwa kushabikia hao ambao hata robo watafika kwa shida
Sababu am the only one at home ndo maana naangalia mwenyewe
Hivi yule kocha wa cameroon amelipwa kweli maana sijaelewaDah ndio nagusa TV Kumbe kuna mpira ndio dk 28 ningeukosa Leo huu mpira ?
acha kutoa povuuu
ushatoa post ya kinoko kule unakuja tena huku
kule umesema UMEONA TANGAZO KUWA LITALIPUKA
hapa unasema NATABIRI acha mambo ya kike wanaume tunacheki gemu
Spain Vs netherlandshaya next match plz
Anza kuona wanaume wa kandanda kwanza next match ndo tuongee vizurikwanini tutumie mate wakati wino upo? kuku wako mwenyewe kwanini umchinje kwa kumpiga jiwe? ngoja waingie uwanjani uone kama hawafiki. hehe
kumbe dada na wewe ni mwanaume
inaboa mwanaume kutafuta cheap attention namna hii